Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kulia), akimsikiliza Mtaalamu wa Majengo kutoka Idara ya Uhamiaji, Konstebo Denis Assey alipotembelea Kambi ya Mafunzo ya Uhamiaji Boma Kichakamiba iliyoko Wilayani Mkinga,Mkoani Tanga, leo.Wapili kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kulia), akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda (TRITA),Naibu Kamishna Abdallah Towo baada ya kuwasili Kambi ya Mafunzo ya Uhamiaji Boma Kichakamiba iliyoko wilayani Mkinga, mkoani Tanga, leo
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mkinga,Yona Mark(kulia), baada ya kuwasili Kambi ya Mafunzo ya Uhamiaji Boma Kichakamiba iliyoko wilayani Mkinga, mkoani Tanga,leo
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akiteta jambo na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala(kulia)baada ya kuwasili Kambi ya Mafunzo ya Uhamiaji Boma Kichakamiba iliyoko wilayani Mkinga, mkoani Tanga,leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi