Home Michezo SAMATTA APIGA LA PILI FENERBAHCE YAICHAPA 3-1 ANKARUGUCU LIGI YA UTURUKI

SAMATTA APIGA LA PILI FENERBAHCE YAICHAPA 3-1 ANKARUGUCU LIGI YA UTURUKI

0

NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ametunga bao la pili katika ushindi wa 3-1 wa Fenerbahce dhidi ya Ankaragucu kwenye mchezo wa nyumbani wa Ligi Kuu ya Uturuki.