Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia Msajili wa Hazina Bw. Athumani Mbuttuka akibadilishana
nyaraka na Makamu wa Rais wa Kampuni ya LZ NICKEL LIMITED Bw. Chris
Von Christierson baada ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano
katika uchimbaji wa madini ya Nickel huko Kabanga katika Wilaya ya
Ngara mkoani Kagera kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Shule
ya Sekondari ya Bukoba mjini Bukoba leo Jumanne Januari 19, 2021
Msajili wa Hazina Bw. Athumani Mbuttuka akionesha nyaraka akiwa na
Makamu wa Rais wa Kampuni ya LZ NICKEL LIMITED Bw. Chris Von
Christierson (katikati) na afisa wa kampuni ya LZ NICKEL LIMITED
baada ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano katika uchimbaji
wa madini ya Nickel huko Kabanga katika Wilaya ya Ngara mkoani Kagera
kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya
Bukoba mjini Bukoba leo Jumanne Januari 19, 2021