Mwonekano wa Ujenzi wa Kiwanda cha kusindika Maziwa na vyakula vya mifugo cha Kahama Fresh Ltd kilochowekwa jiwe la msingi la ujenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kinachojengwa Kihanga, Karagwe, Kagera. Leo tarehe 19/01/2021. (Picha na Eliud Rwechungura)