Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara akisisitiza jambo wakati akizungumza katika kikao kazi na Maafisa Mazingira kutoka Mkoa wa Morogoro, Manispaa na Kata zake (hawapo pichani) wakati alipofanya ziara ziara mkoani humo Januari 16, 2021.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara akizungumza katika kikao kazi na Maafisa Mazingira kutoka Mkoa wa Morogoro, Manispaa na Kata zake wakati alipofanya ziara ziara mkoani humo Januari 16, 2021.
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Bakari Msulwa akimkaribisha Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambaye amefanya ziara katika Manispaa hiyo.
Meya wa Manispaa ya Morogoro Mhe. Pascal Kihanga akizungumza neno wakati wa kikao kazi kati ya Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara aliyefanya ziara ya kikazi mkoani humo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara akizungumza katika kikao kazi na Maafisa Mazingira kutoka Mkoa wa Morogoro, Manispaa na Kata zake wakati alipofanya ziara ziara mkoani humo Januari 16, 2021.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)