Home Michezo MCHEKA NYAVU WA BURUNDI, ABDULRAZACK AMWAGA WINO JANGWANI

MCHEKA NYAVU WA BURUNDI, ABDULRAZACK AMWAGA WINO JANGWANI

0

**********************************************

NA EMMANUEL MBATILO

Klabu ya Yanga imefanikiwa kuinasa saini ya Mshambuliaji raia wa Burundi Fiston Abdulrazack aliekuwa anakipiga kwenye klabu ya ENPPI ya nchini Misri.

Yanga imefanya hivyo kukisuka kikosi chao upya hasa katika eneo la ushambuliaji kuwa butu hivyo kuwaamua kuongeza makali kwenye eneo hilo kwa kumsainisha Abdulrazack.