RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua iliyosomwa na Rais Mstaaf wa Zanzibar wa Awamu ya Tano Alhaj Dkt.Salmin Amour Juma (kulia kwa Rais) baada ya kamiliza mazungumzo yao ya faragha wakati alipomtembelea nyumbani kwake Migombani Jijini Zanzibar leo (Picha na Ikulu)