Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.
Maalim Seif Shariff Hamad alipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani
Geita. Katikati ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiangalia leo Alhamisi Januari 14,
2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Shariff Hamad katika Ikulu ndogo ya
Chato mkoani Geita leo Alhamisi Januari 14, 2021
PICHA NA IKULU