Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Hussein Ali Mwinyi na mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiangaliwa ngoma za
utamaduni wakiwa na Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati Dkt. Medard
Kalemani baada ya kushuka kutoka katika ndege ya Shirika la Ndege la
Tanzania (ATCL) iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika
kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiwasili katika
Uwanja wa ndege wa Geita kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi
Januari 14, 2021
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt. Hussein Ali Mwinyi na mkewe Mama Maryam Mwinyi wakilakiwa na
Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani baada ya
kushuka kutoka katika ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)
iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika kumtembelea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Hussein Ali Mwinyi na mkewe Mama Maryam Mwinyi wakipata picha ya
kumbukumbu na marubani na wafanyakazi wa ndege ya Shirika la Ndege la
Tanzania (ATCL) iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika
kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na wajumbe wa kamati ya Ulinzi na
Usalama wa Mkoa wa Geita alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Geita
kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021.
PICHA NA IKULU