Leo wafanyakazi, watendaji na viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, jijini Dar es Salaam, wamesherehekea Miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa kufanya Joging huko Vingunguti.
Diwani wa Kata ya Kivukoni, Sharik Choughle (wapili kushoto) hapa akishiriki mazoezi hayo yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Msikate Tamaa.