Ndege aina ya Boeing 737-700 iliyombeba Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi pamoja na Ujumbe wake ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa Geita Wilayani Chato leo tarehe 07 Januari 2020.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Geita Wilayani Chato leo tarehe 07 Januari 2020 na kupokewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi akisikiliza maelezo ya Chuo ya Ufundi Stadi Veta Chato mkoani Geita kabla ya kukifungua.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiwa na Waziri wa Elimu, SAyansi na Teknolojia wa Tanzania Profesa Joyce Ndalichako wakifunua pazia kuashiria kufungua rasmi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Chato mkoani Geita mara tu baada ta kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili leo Jumatano Januari 2021
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Tanzania Profesa Joyce Ndalichako, Wazairi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Mwenyekiti wa Bodi ya VETA Bw. Peter Maduki (kushoto) wakikata utepe kufungua rasmi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)
Chato mkoani Geita mara tu baada ta kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili leo Jumatano Januari 2021
Wazifri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Tanzania Profesa Joyce Ndalichako, Wazairi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Mwenyekiti wa Bodi ya VETA Bw. Peter Maduki (kushoto) na Balozi wa China nchini Mhe. Wange Ke wakiondoka baada ya
kukata utepe kufungua rasmi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Chato mkoani Geita mara tu baada ta kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili leo Jumatano Januari 2021
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wange Yi akizun gumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi mara baada ya kufungua Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Chato Mkoani Geita mara tu baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya Siku mbili leo Jumatano Januari 17, 2021
Mkurugenzi Mkuu wa Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) Dkt. Pancras Bujulu akisoma risala ya kumkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wange Yi kufungua Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Chato Mkoani Geita mara tu baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya Siku mbili leo Jumatano Januari 17, 2021
PICHA NA IKULU