Home Burudani WAKALA WA MISITU TFS YAIPONGEZA KAMATI YA MISS TANZANIA

WAKALA WA MISITU TFS YAIPONGEZA KAMATI YA MISS TANZANIA

0

Wakala wa misitu Tanzania wameipongeza kamati ya Miss Tanzania na kuandaa trip ya kwenda kutembele kivutio cha misitu asili cha Pugukazimzumbwi kilichopo Kisarawe ambapowarembo hao wa Miss Tanzania  walifurahia maajabu ya kivutio hicho ikiwemo kuona wadudu aina ya panzi wenye bendera ya Tanzania

@misstanzaniaorganisation @tanzania_forest @tanzania_unforgettable
#pugukazimizumbwi