Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussei Ali Mwinyi (katikati) akiwasikiliza Uongozi wa Jumuiya ya Jumuiya ya Maimamu (JUMAZA) wakati wa mazungumzo yao Ikulu Jijini Zanzibar leo waliofika kumpongeza kutokana na ushindi alioupata katika uchaguzi Mkuu uliopita Mwaka 2020.[Picha na Ikulu] 28/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussei Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Maimamu (JUMAZA) waliofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa ajili ya kumpongeza kutokana na ushindi alioupata katika uchaguzi Mkuu uliopita Mwaka 2020.[Picha na Ikulu] 28/12/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussei Ali Mwinyi (katikati) akisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Jumuiya ya Maimamu (JUMAZA) waliofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kumpongeza kutokana na ushindi alioupata katika uchaguzi Mkuu uliopita Mwaka 2020.[Picha na Ikulu] 28/12/2020.