Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akizungumza na Watoto baada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismasi iliyofanyika leo katika Kanisa la Parokia ya Kiboje, iliyopo Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akitoa sadaka kwa watoto baada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismasi iliyofanyika leo katika Kanisa la Parokia ya Kiboje, iliyopo Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo(watatu kushoto),akiimba na kusifu Pamoja na Kwaya ya Kanisa la Parokia ya Kiboje baada ya Ibada ya Krismasi iliyofanyika leo katika Kanisa la Parokia ya Kiboje, iliyopo Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akizungumza na Wanakwaya baada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismasi iliyofanyika leo katika Kanisa la Parokia ya Kiboje, iliyopo Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo(katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na Wanakwaya baada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismasi iliyofanyika leo katika Kanisa la Parokia ya Kiboje, iliyopo Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.Katikati ni Paroko wa Parokia hiyo,Stephen MachaPicha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi