Kamishna wa Maadili Jaji Sivangilwa Sikalaliwa Mwangesi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimksbidhi nyenzo za kazi Jaji Sivangilwa Sikalailwa Mwangesi baada
ya kumuapisha kuwa Kamishna wa Maadili katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu Chamwino asubuhi leo Disemb a 24, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Jaji Sivangilwa Sikalailwa Mwangesi kuwa Kamishna wa
Maadili katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino asubuhi leo
Disemb a 24, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Jaji Sivangilwa Sikalailwa Mwangesi baada ya kumuapisha kuwa
Kamishna wa Maadili katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu Chamwino asubuhi leo Disemb a 24, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng.
John Kijazi, Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma Mhe.
Latifah Mansoor, Jaji Sivangilwa Sikalailwa Mwangesi, Naibu Waziri
Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. Deo Ndejembi na watendaji katika
ofisi za Tume ya Maadili baada ya kumuapisha Jajji Mwangesi kuwa
Kamishna wa Maadili katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu Chamwino asubuhi leo Disemb a 24, 2020
PICHA NA IKULU