Sehemu ya Watendaji wa Kata, Maafisa Kata wa Maendeleo ya Jamii, Afya, Kilimo n.k.
kutoka Bukoba Manispaa wakifuatilia kwa umakini elimu ya Lishe

Watendaji wa Kata, Maafisa Kata wa Maendeleo ya Jamii, Afya, Kilimo n.k.
kutoka Bukoba Manispaa.
Neema Lugangira (Mb) alisema kuwa masuala ya lishe ni mtambuka hivyo ni
muhimu kuhakikisha Viongozi na Watendaji wote wanaongea lugha moja.
kutokomeza udumavu na utapiamlo kwa ujumla.
Lugangira alisisitiza kuwa hatua inayofuata ni kushuka chini kata moja
baada ya nyingine hadi kuhakikisha kwamba Lishe Bora inakuwa kwa
vitendo.
Kazi hii
itafanyika kwa kushirikiana kwa karibu na Watendaji Kata na Maafisa Kata
na ndio msingi wa kuwafikishia semina hii alisema