Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii, Mhe. Jaji Zephrine Galeba, akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii alipokuwa akifungua Kikao hicho, kilichofanyika katika Ukumbi wa TANAPA, Jengo la Kambarage jijini Dodoma leo.
Mkurugenzi wa Huduma za Uangalizi, Aloyce Musika (Wa kwanza kulia) ambaye ni Katibu wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii, akizungumzia mafanikio katika Utekelezaji wa Kazi za Idara ya Huduma za Uangalizi katika Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa TANAPA, Jengo la Kambarage, Jijini Dodoma leo.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii wakiwa katika Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa TANAPA, Jengo la Kambarage Jijini Dodoma leo.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii wakiwa katika Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa TANAPA, Jengo la Kambarage Jijini Dodoma leo. Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii, Mhe. Jaji Zephrine Galeba (Wa sita kutoka kushoto), Mkurugenzi wa Huduma za Uangalizi, Aloyce Musika (Wa sita kutoka kulia) ambaye ni Katibu wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii, pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kamati hiyo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa TANAPA Jengo la Kambarage, Jijini Dodoma leo.