Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akimpa maelezo Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama alipokuwa akikagua maendeleo ya ukarabati wa kumbi za Bunge pamoja na Ofisi za Bunge.
Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akifafanua jambo kwa Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai alipokuwa akikagua maendeleo ya ukarabati wa kumbi za Bunge pamoja na Ofisi za Bunge.
Sehemu ya jengo la Ofisi ya Bunge likiwa kwenye hatua za mwisho za ukarabati mara baada ya kukaguliwa na Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama hii leo Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)