Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakitoka kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma leo tarehe 16 Desemba 2020.