***********************************
SEMBI AMEIBUKA MSHINDI BAADA YA KUPIGA MIKWAJU 301 KWA MASHIMO 72 NA KUFUATIWA NA ALLY MCHARO KWA MIKWAJU 302 WA TPC NA WATATU KUSHIKWA NA JAY NATHWANI WA ARUSHA BAADA A KUFUNGANA KWA MIKWAJU 302.
KWA UPANDE WA MIKWAJU YA JUMLA MSHINDI NI DAMAS GEITINA WA TPC ALIYEPIGA MIKWAJU YA JUMLA 293 HUKU DIVISHENI B MSHINDI NI AHMED RAJABU WA DAR ES SALAAM GYMKHANA ALIYEPIGA MIKWAJU YA JUMLA 155.
KWA UPANDE WAWANAWAKE MSHINDI NI MADINA IDDI KWA MIKWAJU 152 HUKU KWA MIKWAJU YA JUMLA MSHINDI NI NEEMA ULOMI ALIYEPIGA MIKWAHU YA JUMLA AU NET YA 150 AKIFUATIWA NA ANHEL EATON WA LUGALO KWA MIKWAHU YA JUMLA 161.
KATIKA KUNDI LA WATOTO MSHINDI NI IBRAHIM GABRIEL WA TPC KWA MIKWAJU YA JUMLA 66 AKIFIATIWA NA JISEPHAT FOCUS NAYE WA TPC KWA MIKWAJU 76.
NA KWA WAZEE MSHINDI NI JOSEPH GWACHA KWA MIKWAJU YA JUMLA 168 AKIFUATIWA NA TONY FRISBY WA ARUSHA ALIYEPIGA MIKWAJU YA JUMLA AMA NET YA 169.
KWA UPANDE WAKE MGENI RASMI KATIKA MASHINDANO HAYO AMBAYE PIA NI MBUNGE WA MOSHI MJINI PRSCUS TARIMO AMEOMBA WADHAMINI KUENDELEA KUDHAMINI MICHEZO ISIYOPEWA KIPAIMBELE.
KWA UPANDE WAKE MWENYEKITI WA CHAMA CHA GOLF TANZANIA TGU CHRISS MARTIN ALISISITIZA VILABU KUWEKEZA KWA WATOTO KWANI NDIO UHAI WA MCHEZO.
NAYE NAHODHA WA TPC NA MDHAMINI WA SHINDANO HILO JAFFARY ALLY AMEVIPONGEZA VILABU VILIVYOSHIRIKI KWA KUONYESHA USHIRIKIANO.
MASHINDANO HAYO KWA MWAKA 2020 YAMEHUDHURIWA NA WACHEZAJI KUTOKA KLABU YA DAR ES SALAAM GYMKHANA, ARUSHA GYMKHANA, MOROGORO, LUGALO WENYEII TPC , MOSHI NA KUDHAMINIWA NA KIWANDA CHA MIWA TPC NA BENKI YA CRDB.