RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania
Assemblies of God Dr.Barnanas Weston Mtokambali alipofika Ikulu
Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa pongezi zake kwa Rais na (kulia kwa
Askofu) Rev. Dikson Kaganga, Askofu wa Jimbo la Zanzibar, mazungumzo
hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
11/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania
Assemblies of God.Dr.Barnanas Weston Mtokambali, alipofika Ikulu Jijini
Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza hafla hiyo imefanyika leo
11/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania
Assemblies of God Dr.Barnanas Weston Mtokambali (kulia kwa Rais) akiwa
na Askofu wa Jimbo la Zanzibar Rev.Dikson D.Kaganga, walipofika Ikulu
Zanzibar kwa mazungumzo leo 11/12/2020. (Picha na Ikulu)