*********************************
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, linatoa taarifa kwa umma kuwa MOSES JOHN BASILA mwenye picha hapo chini sio mtumishi wa Jeshi.
Tuna wataarifu kuwa, Jeshi halitahusika wala kutambua kazi zozote atakazozifanya, pia tunawasihi Wananchi kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa pindi watakapomuona mtajwa mwenye picha hapa chini akijihusisha na kazi zinazohusu Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.