Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi, (katikati) alipotembelea kituo cha kukusanyika taka Maruhubi Wilaya Mjini Magharibi ikiwa moja ya sehemu ya Mradi wa ZUSP leo alipofanya ziara maalum kutembelea utekelezaji wa Mradi huo (wa nne kulia) Makame Ali Makame .[Picha na Ikulu] 09/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi, (katikati) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid (wa pili kushoto) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Rahma Kassim Ali (kulia) na Mkuu Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(wa puili kulia) pamoja na Viongozi mbali mbali wakifuatana wakati alipotembelea utekelezaji wa Mradi wa Huduma za Jamii Mjini (ZUSP) ikiwa ni mtaro wa Majitaka huko Kiembesamaki leo. [Picha na Ikulu] 09/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiuliza suala kwa Uongozi wa Mradi wa Huduma za Jamii Mjini (ZUSP) leo wakati alipofanya ziara ya kutembelea utekelezaji wa mradi huo ikiwemo Mtaro wa majitaka Kiembesamaki.[Picha na Ikulu] 09/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) alipokuwa akitoa agizo kwa Mratibu wa Mradi wa Huduma za Jamii Mjini (ZUSP) Makame Ali Makame (wa pili kushoto) leo mara baada ya kumaliza ziara ya kukagua utekelezaji wa mradi mtaro wa majitaka wa Kiembesamaki leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.[Picha na Ikulu] 09/12/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Mradi wa Huduma za Jamii Mjini (ZUSP) Makame Ali Makame (kushoto) wakati alipotembelea kituo cha kukusanyika taka Maruhubi (wa pili kulia) Mama Marium Mwinyi,na Mkuu Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.[Picha na Ikulu] 09/12/2020.