Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga wakati alipowasili katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo.[Picha na Ikulu.] 05/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga. [Picha na Ikulu.] 05/12/2020.
Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] 05/12/2020. Baadhi ya Wafanyabishara wa Makampuni mbali mbali Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa pamoja na taasisi mbali mbali za Serikali uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] 05/12/2020.