Meza kuu ikiimba Nyimbo ya Chama mara baada ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Bashiru Ally Kakurwa alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri kuu ya CCM Leo jijini Dodoma.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Bashiru Ally Kakura akizungumza na Viongozi wa jumuiya za CCM Wakati wa kufunga Semina ya Siku mbili ya Viongozi wa Jumuiya zote za CCM iliyofanyika katika Ukumbu wa White House Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania akizungumza katika Semina ya Siku mbili ya Viongozi wa Jumuiya zote za CCM iliyofanyika katika Ukumbu wa White House Jijini Dodoma
Katibu wa Idara ya Oganaizesheni wa Chama cha Mapinduzi Ndg Pereila Silima akitoa ufafanuzi wa jambo katika Semina ya Siku mbili ya Viongozi wa Jumuiya zote za CCM iliyofanyika katika Ukumbu wa White House Jijini Dodoma
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa (kulia) akimkabidhi kitabu Cha ilani ya CCM YA 2020-2025 pamoja na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi wa CCM Komred Kheri James kwa niaba ya Viongozi wote wa UVCCM kwa ajili ya ufuatiliaji na usimamizi wa ahadi za CCM. (PICHA ZOTE NA UVCCM)


















