Chama cha Tadea kimekishauri ACT wazalendo kiheshimu katiba ya zanzibar ya mwaka 198 na kupeleka jina la Makamo wa kwanza wa Rais bila kupuuzia mstakwa ya katiba.
Kimesema katiba ya zanzibar ndiyo inayotaka iwepo serikali ya umoja wa kitaifa (SUK) na wala si utashi wa viongozi kuzuia wawakikishi kutoapa.
Naibu katibu Mkuu wa Ada Tadea Rashid Yussuf Mchanga aameeleza hayo na kudema kitendo cha kutoheshimu katiba licha ya ukikaji wa katibs pia uvunjaji wa haki za binadamu.
Mchengs amesema ACT Wazalendo kinapaswa kuheshimu maamuzi ya wananchi waliopiga kura ya maoni hatimstr kuiweka madaraksni serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar.
Amesema wananchi ndio wapiga kura hivyo mstokeo ya na kupata viti vinne waliochagus wnahitaji kuwakilishwa ,kutetewa na kuheshimiwa.
Mchenga amesema aidha wananchi ikiwa wamechagua idadi kwa wingi viti au uchache wake ,bado wananchi hao hawapaswi kupotezewa uwakilishi wao..
Amesema viongozi wa kisiasa hawan jukumu la kuwachagulia wananchi aina ya uwakilishi kinyume na matakwa ya kidemokrasia
Aidha Naibu huyo katibu Mkuu amesemz chama cha siasa kinaposhinda m viti vingi au kupsta vichache ni maamuzi yatokansyo na wananchi na si utashi wa viongozi.
Amesema hata pale inapotokea wananchi kupigwa kura za maruhani huwa ni maamuzi yao yasioingiliwa na yeyote.
Katiba ya Zanzibar inamtaka Rais Dk Hussein Ali Mwinyi kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na kukishirikisha chama kilichopata asilimia 10 kama masharti ya katiba ya zanzibar inayotaka.