Baadhi ya Waislamu na Wananchi wakiwa katika Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar kabla ya kumswalia Mzee Iddi Mohamed Said Bavuai ambae mazishi yake yamefanyi9ka leo Kijijini kwao Shakani Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waislamu wengine kubeba jeneza la Marehemu Mzee Iddi Mohamed Said Bavuai kabla ya kumswalia katika Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar na Kuzikwa leo Kijijini kwao Shakani Wilaya ya Magharibi”B”.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na baadhi ya Waislamu katika kumswalia Marehemu Mzee Iddi Mohamed Said Bavuai katika Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar na Kuzikwa leo Kijijini kwao Shakani Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tano kulia) amejumuika na baadhi ya Waislamu kwa kuitikia dua iliyoombwa baada ya kumswalia Marehemu Mzee Iddi Mohamed Said Bavuai katika Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar na Kuzikwa leo Kijijini kwao Shakani Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu