RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumaliza
kuwaapisha Mawaziri aliowachagua hivi katika, wakati wa hafla hiyo
iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 21/11/2020 na
kutowqa nasaha zake kwa Viongozi aliowaapisha leo.(Picha na Ikulu) WAHESHIMIWA Mawaziri wakifuatilia hutuba ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kuwaapisha Mawaziri
katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumaliza kuwaapisha
Mawaziri katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 21/11/2020.(Picha
na Ikulu)BAADHI ya Viongozi wa Dini mbalimbali Jijini Zanzibar
wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mawaziri katika viwanja vya Ikulu
Jijini Zanzibar leo 21/11/2020.(Picha na Ikulu)