Katibu Mkuu Wizara ya Afya – Idara Kuu ya Maendelo ya Jamii Dkt. John Jingu akikata utepe kuzindua Dawati la Ulinzi wa Mtoto katika Shule ya Msingi Laela A, Halmahsauri ya Sumbawanga Viijijini Mkoani Rukwa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto yaliyofanyika katika.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendelo ya Jamii Dkt. John Jingu akifungua sanduku la maoni lililopo katika Dawati la Ulinzi wa Mtoto katika Shule ya Msingi Laela A, Halmahsauri ya Sumbawanga Viijijini Mkoani Rukwa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto yaliyofanyika katika
Baadhi ya watoto wa Shule ya Msingi Laela A wakisikiliza masuala mabalimbali yaliyokuwa yakizungumzwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto yaliyofanyika katika Halmahsauti ya Sumbawanga Viijijini mkoani Rukwa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendelo ya Jamii Dkt. John Jingu akikabidhi chapisho lenye namba maalum ya bure ya 116 ya kutoa taarifa ya vitendo vya uaktili dhidi ya watoto wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto yaliyofanyika katika Halmahsauti ya Sumbawanga Viijijini mkoani Rukwa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendelo ya Jamii Dkt. John Jingu akizungumza na wananfunzi wa Shule ya MSI
Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW