Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Awamu ya Nane katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kutangazwa majina ya Mawaziri katika Wizara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Rais wa Zanzibar ya Awamu ya Nane na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.
Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali Serikali na Binafsi wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Awamu ya Nane.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Awamu ya Nane katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Awamu ya Nane katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.
Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar ni Miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kutangazwa majina ya Mawaziri katika Wizara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Awamu ya Nane na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Awamu ya Nane katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.[Picha na Ikulu