Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mheshimiwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi,akipomgeza Mhe.Kassim Majaliwa baada ya kuapishwa na Rais Dkt.John Magufuli kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai,akipomgeza Mhe.Kassim Majaliwa baada ya kuapishwa na Rais Dkt.John Magufuli kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Waziri wa Fedha na Mipango katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu,Rais wa Zanzibar Dkt.Hussein Mwinyi,Spika wa Bunge Job Ndugai pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma wakitafilia uapisho wa Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 16,2020
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi wakila Kiapo cha Uadilifu kwa viongozi wa Umma mara baada ya kuapishwa kuwa Mawaziri na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia hotuba za viongozi mbalimbali mara baada ya kumuapisha Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa pamoja na Mawaziri wawili katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho wa Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa , Waziri wa Fedha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan,baada ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa , Waziri wa Fedha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kumuapishwa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa , Waziri wa Fedha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma
BAADHI ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa , Waziri wa Fedha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa , Waziri wa Fedha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa , Waziri wa Fedha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Mchekeshaji Emmanuel Mgaya ‘Masanja’akielezea mafanikio yaliyopatikana katika awamu ya tano chini ya Rais Dkt.John Magufuli wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa , Waziri wa Fedha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na makatibu wakuu mara baada ya hafla ya Uapisho wa Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa , Waziri wa Fedha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Vyama vya Siasa nchini mara baada ya hafla ya Uapisho wa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa , Waziri wa Fedha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wabunge mara baada ya hafla ya Uapisho wa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa , Waziri wa Fedha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
PICHA.ALEX SONNA-FULLSHANGWE BLOG NA IKULU