Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, wakati akiwasili kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma leo Novemba 4, 2020, kukagua maandalizi ya uwanja huo utakaotumika kwa ajili ya uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika kesho Novemba 5, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maandalizi ya uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo Novemba 4, 2020, ambao utatumika kwa ajili ya uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika, kesho Novemba 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)