Home Uncategorized WANANCHI WA CHAMWINO IKULU WAJITOKEZA KWA WINGI VITUONI KUCHAGUA RAIS,WABUNGE NA MADIWANI

WANANCHI WA CHAMWINO IKULU WAJITOKEZA KWA WINGI VITUONI KUCHAGUA RAIS,WABUNGE NA MADIWANI

0

Wananchi wa Chamwino Ikulu mkoani Dodoma wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika kituo cha kupigia kura cha Ukumbi wa Kijiji cha Ikulu Chamwino ili kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani katika uchaguzi unaofanyika leo Jumatano Oktoba 28,2020 nchini kote. 

(PICHA NA JOHN BUKUKU-CHAMWINO IKULU)

Baadhi ya wapiga kura wakihakiki majina yao kabla ya kupiga kura leo Chamino jijini Dodoma.

Picha zikionesha misururu ya wananchi aliojitokeza kupiga kura katika Kijiji cha Ikulu Chamwino leo Jumatano Oktoba 28, 2020.

Mmoja wa maafisa wa Tume ya Uchaguzi akitoa maelekezo kwa wapiga kura kabla ya kupiga kura kuchagua viongozi katika kituo hicho.