Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Kata za Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru, Oktoba 27, 2020. Alikuwa akimuombea kura mgombea Urais wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM.