Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na  wananchi Chemb wilayani Kondoa akitokea  Babati mkoani Manyara akiwa njiani kuelekea Dodoma mara baada ya  kuhitimisha  Mikutano yake ya  Kampeni za CCM leo JJumatatu Oktoba 26, 2020.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-CHEMBA)

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na  wananchi Chemb wilayani Kondoa akitokea  Babati mkoani Manyara akiwa njiani kuelekea Dodoma mara baada ya  kuhitimisha  Mikutano yake ya  Kampeni za CCM leo JJumatatu Oktoba 26, 2020.

Aliyekuwa Mbunge wa Chemba Ndugu Juma Nkamia akimuombea kura Rais Dk. John Pombe Magufuli alipozungumza na wananchi wa Chemba wilayani Kondoa mkoani Dodoma.

Picha mbalimbali zikionesha wananchi waliojitokeza kumlaki Rais Dk. John Pombe Magufuli alipozungumza nao eneo la Chemba.