Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Ilulu katika Manispaa ya Lindi
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akivisha kofia ya CCM, Msanii Peter Msechu katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa Ilulu katika Manispaa ya Lindi
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akimnadi mgombea Ubunge wa CCM wa Jimbo la Lindi Hamida Abdallah katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa Ilulu kwenye Manispaa ya Lindi
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majliwa akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025, mgombea Ubunge wa CCVM katika Jimbo la Lindi Hamida Abdallah (kulia) na mgombea Udiwani wa Kata ya Mikumi, Zahra Selemani, katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa Ilulu katika Manispaa ya Lindi,