Diogo Jota (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi dakika ya 64 ikiwalaza Sheffield United 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Sheffield United ilitangulia kwa bao la Sander Berge kwa penalti dakika ya 13, kabla ya Roberto Firmino kuisawazishia Liverpool dakika ya 41 na Mohammed Salah akafunga bao zuri kipindi cha pili ambalo VAR ilionyesha ameotea likakataliwa PICHA ZAIDI SOMA HAPA
LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA 2-1 SHEFFIELD UNITED
By Alex Sonna
October 25, 2020 | 4:11 am

Related Stories
View all
Michezo
20 hours ago
MALIASILI YAWATOA JASHO WAZEE SHIMIWI 2026
.Na Sixmund Begashe, Moshi WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Club yake ya Michezo, imeendelea kuwa gumzo kwenye Michezo ya SHIMIWI 2026 baada ya…
Michezo
2 days ago
MGUMBA ALETA DHAHABU NYINGINE MALIASILI
Na Sixmund Begashe, Moshi WAPENZI wa michezo wa Mkoa wa Kilimanjaro wameendelea kushuhudia Wizara ya Maliasili na Utalii ikisomba medali ya tatu ya dhahabu…
