Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Moshi waliofurika katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 21 Oktoba 2020.
Sehemu ya Wananchi wa Moshi waliohudhuria Mkutano wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 21 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 21 Oktoba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwaelekeza Wapiga Kura katika Jimbo la Mwanga jinsi ya kumpigia Kura yeye kwa kuweka TIKI pamoja na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo katika mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 21 Oktoba 2020.