Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli Akizungumza na wannachi wa Kibororoni akielekea Uwanja wa Ushirika mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 21,2020.
Msafara wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli ukiwa umesimama Eneo la Kibororoni Mjini Moshi wakati alioosimama ili kuzungumza na wananchi akielekea Uwanja wa Ushirika mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 21,2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akionesha nanasi alilozawadiwa na Diwani wa CCM Kiwangwa Mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Eneo la Kiwangwa wilayani Bagamoyo akiwa njiani kuelekea mkoani Tanga leo Jumatatu Oktoba 19,2020. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli Akiwapungia wananchi wa Kibororoni Mjini Moshi wakati alipozungumza na wannachi wa Kibororoni akielekea Uwanja wa Ushirika mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 21,2020.
Baadhi ya Wananchi wa Kiwangwa wilayani Bagamoyo wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipozungumza nao