Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wazee wakati aliposhiriki mazishi ya Mwenyekiti Mstaafu wa CCM wa Kata za Mnacho na Nandagala wilayani Ruangwa, Habibu Bakari Mchenga yaliyofanyika katika kijiji cha Namahema wilayani humo,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitupa udongo kwenye kaburi la Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Kata za Nandagala na Mnacho, Habibu Bakari Mchenga katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa, Oktoba 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)