Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga katikati akikata utepe kuashiria kukipokea rasmi kivuko cha MV.PANGANI II kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Wilayani Pangani mkoani Tanga leo. Kivuko cha MV. PANGANI II kimefanyiwa ukarabati kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga kulia `akifurahia jambo na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah mara baada ya kukipokea rasmi kivuko cha MV.PANGANI II kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Wilayani Pangani mkoani Tanga leo. Kivuko cha MV. PANGANI II kimefanyiwa ukarabati kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga kushoto na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle wakishuka kutoka kwenye kivuko cha MV.PANGANI II mara baada ya kukipokea rasmi Kivuko hicho kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Wilayani Pangani mkoani Tanga leo. Kivuko cha MV. PANGANI II kimefanyiwa ukarabati kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.
Kivuko cha MV.PANGANI II kikiwa kimepaki katika Mto Pangani Tanga, kivuko hicho kimepokelewa rasmi leo na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga katika sherehe zilizofanyika Wilayani Pangani mkoani Tanga. Kivuko cha hicho kimefanyiwa ukarabati kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.
Kivuko cha MV.PANGANI II kikiwa kimepakia magari na abiria kutokea Pangani kuelekea Bweni. Kivuko hicho kimepokelewa rasmi leo na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga baads ya kufanyiiwaa ukarabati mkubwa kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga katikati, Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela kulia na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah wakifurahia jambo mara baada ya kukipokea rasmi kivuko cha MV.PANGANI II kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Wilayani Pangani mkoani Tanga leo. Kivuko hicho kimefanyiwa ukarabati kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.
PICHA ZOTE NA ALFRED MGWENO (TEMESA) TANGA