Home Siasa RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA SAME MKOANI KILIMANJARO

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA SAME MKOANI KILIMANJARO

0

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Same wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuwasili mkoani humo akitokea mkoani Tanga leo Jumanne Oktoba 20,2020.

(PICHA NA JOHN BUKUKU -SAME)

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Same wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuwasili mkoani humo akitokea mkoani Tanga leo Jumanne Oktoba 20,2020.

Mwenyekiti CCM Mkoa Kilimanjaro Patrick Boisafi akimkaribisha mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli ili kuwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Same mjini leo.

Mjumbe wa NEC Ushirikiano wa Kimataifa CCM na mlezi wa mkoa wa Kilimanjaro Kanali Lubinga akimuombea kura Rais Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Same leo Jumanne Oktoba 20,2020.

Baadhi ya  wagombea udiwani wa wilaya ya Same wakiserebuka na muziki wa msanii Dulla Makabila wakati alipokuwa akitumbuiza kwenye mkutano huo.

Msanii Dulla makabila akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika Same mjini leo.

Baadhi ya viongozi wa CCM wakiwa wameketi jukwaa kuu katika mkutano huo.

Mgombea Ubunge wa jimbo la Same Mashariki mama Anne Kilango Malecela akimuombea kura mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano huo.

Mgombea Ubunge wa jimbo la Same Magharibi Bw. David Mathayo akimuombea kura mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano huo uliofanyika mjini Same.

Baadhi ya picha zikionesha maelfu ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo wakimsikiliza Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahutubia leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Same mkoani Kilimanjaro.