Mkuu wa mradi wa Utafiti wa sera za kilimo Afrika (APRA) Prof.Aida Isinika akifafanua maswali kuhusu APRA katika semina ya Waandishi wa habari iliyofanyika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Mkoani Morogoro. Mtafiti wa mradi wa Utafiti wa sera za kilimo Afrika (APRA) Prof.Ntengua Mdoe akifafanua kuhusu kilimo biashara cha mpunga, mifugo na hali maisha ya wakulima wadogo katika bonde la Kilombero katika semina ya waandishi wa habari iliyofanyika Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) Mkoani Morogoro. Mtafiti wa Mradi wa Utafiti wa sera za kilimo Afrika (APRA), Dkt.Christopher Magomba akifafanua jambo katika semina ya waandishi wa habari iliyofanyika Chuo Kikuu SUA Mkoani Morogoro. Mtafiti wa mradi wa Utafiti wa sera za kilimo Afrika (APRA),Dkt.Devotha Kilave akizungumza katika semin a ya waandishi wa habari iliyofanyika Chuo Kikuu SUA Mkoani Morogoro.Mtafiti Msaidizi wa mradi wa Utafiti wa sera za kilimo Afrika (APRA), Bw.Gideon Boniface akifafanua jambo baada ya kuwasilisha mada kuhusu Matokeo ya Covid-19 katika kilimo-biashara cha mpunga na alizeti Mikoa ya Morogoro na Singida
Waandishi wa habari mbalimbali wakifuatilia Semina iliyotolewa na watafiti wa mradi wa Utafiti wa sera za kilimo Afrika (APRA) uliofanyika katika Chuo Kikuu cha SUA Mkoani Morogoro.
(PICHA NA EMMANUEL MBATILO)