Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mwenyekiti wa Wakala wa Barabara (ZANROAD)Nd.Mohamed Suleiman Zidi (kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwnamwema Shein (wa pili kulia) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Dk.Sira Ubwa Mamboya (kulia) wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Barabara ya Ole-Kengeja katika uwanja wa Nyundo Kengeja Wilaya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu] 16/10/2020.
Viongozi mbali mbali wa Vikosi vya Ulinzi na wananchi wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Barabara ya Ole-Kengeja zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyundo Kengeja Wilaya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba Mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) .[Picha na Ikulu] 16/10/2020. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwnamwema Shein (kushoto) Waziri wa Ujenzi,mawasiliano na Usafirishaji Dk.Sira Ubwa Mamboya(katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Barabara ya Ole-Kengeja zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyundo Kengeja Wilaya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu] 16/10/2020.