Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Chunya alipokua akikamilisha ziaya yake ya mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Mbeya katika Eneo la CCM Sabasaba Chunya Mjini leo Oktoba 15,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)