Home Mchanganyiko MKUTANO WA KAMPENI CCM MOMBA SONGWE

MKUTANO WA KAMPENI CCM MOMBA SONGWE

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kitabu cha Ilani ya Utekelezaji wa Uchaguzi ya CCM 2020/25 kwa Mbunge mteule wa Jimbo la  Tunduma  Mhe. David Silinde kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM,