Home Siasa MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA UBUNGO...

MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA UBUNGO NA KIBAMBA MVUANI UWANJA WA BARAFU MBURAHATI JIJINI DAR ES SALAAM, AWAAHIDI NEEMA KIBAO

0

Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Barafu wa Mburahati tayari kuhutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020

Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati
katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020

Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea ubunge wa Ubungo Profesa Kitila Mkumbo na IssaMtemvu wa Kibamba mbele ya maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020

Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea udiwani mbele ya maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020