Antonio Ruduiger (kushoto) akimpongeza Matthias Ginter baada ya kuifungia Ujerumani bao la kwanza dakika ya 20 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ukraine kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa NSK Olimpiki Jijini Kiev. Bao lingine la kikosi cha Joachim Low lilifungwa na Leon Goretzka dakika ya 49, kabla ya Ruslan Malinovskyi kuifungia Ukraine kwa penalti dakika ya 76 kufuatia Niklas Sule kumchezea rafu Roman Yaremchuk PICHA ZAIDI SOMA HAPA
UJERUMANI YAICHAPA 2-1UKRAINE LIGI YA MATAIFA YA ULAYA KIEV
By Alex Sonna
October 12, 2020 | 7:56 am

Related Stories
View all
Michezo
7 days ago
SERIKALI YATENGA BILIONI 6.6 KUIMARISHA BIASHARA YA KABONI
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akisalimiana na mchambuzi wa masuala ya mazingira na tabianchi kutoka Norway Bw. Herald Frankie…
Michezo
1 week ago
ZANZIBAR YATANGAZA BEI ELEKEZI MATUMIZI YA VIWANJA VYA MICHEZO
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar imetangaza bei elekezi ya matumizi ya Viwanja 17 vya michezo ili kurahisisha utapatikanaji wa…
