Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mbunge mteule wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Mhe. Aesh Khalfan Hilal kulia na Mjumbe wa NEC Mkoa wa Rukwa Sospeter Kasawanga katikati kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 12,2020 katika Uwanja wa Nduwa Sumbawanga Mjini Mkoanmi Rukwa.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wyandanchi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini katika Uwanja wa Nduwa Sumbawanga Mjini Mkoani Rukwa leo Oktoba 12,2020.
Wasanii wa kundi la Yamoto Band wakitoa burudani kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Oktoba 12,2020 katika Uwanja wa Nduwa Sumbawanga Mjini ambapo Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi kwenye mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Nduwa Sumbawanga Mjini Mkoani Rukwa leo Oktoba 12,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini alipowasili katika Uwanja wa Nduwa Sumbawanga Mjini Mkoani Rukwa kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Oktoba 12,2020.