Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Segerea katika mkutano wa Kampeni unaofanyika Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Oktoba 12,2020, akiwaomba kura ili wamchague ifikapo Oktoba 28,2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.John Pombe Magufuli akimvisha kofia msanii Dulla Makabila Mara baada ya kutumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa Jimbo la Segerea unaofanyika Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Oktoba 12,2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.John Pombe Magufuli akicheza muziki wa msanii Dulla Makabila mara baada ya kumpa zawadi ya kofia wakati alipowahutubia wananchi wa Jimbo la Segerea katika mkutano wa Kampeni unaofanyika Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Oktoba 12,2020, akiwaomba kura ili wamchague ifikapo Oktoba 28,2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.John Pombe Magufuli akicheza muziki wa msanii Mbosso na watoto walk msanii huyo akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa Jimbo la Segerea unaofanyika Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Oktoba 12,2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.John Pombe Magufuli akicheza muziki wa msanii Mbosso wakati akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa Jimbo la Segerea unaofanyika Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Oktoba 12,2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.John Pombe Magufuli akielekea jukwaani kumpa zawadi ya kofia msanii Mboso wkaaati akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa Jimbo la Segerea unaofanyika Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Oktoba 12,2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.John Pombe Magufuli akimvisha kofia msanii Mbosso wakati akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa Jimbo la Segerea unaofanyika Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Oktoba 12,2020.Baadhi ya Wananchi wakiwa wameshika mabango yenye picha ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. John Pombe Magufuli unaofanyika Kinyerezi Jimbo la Segerea jijini Dar es salaam leo Jumatatu 12, 2020. Maelfu ya Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Oktoba 12, 2020.